Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani watu waijue hii link
Mi nishatuma ctakiujinga kabisa
Umefanya vema mno
mmmmmmh!Yenyewe originaleeeeeee
Jicho la kidume uwa linaanzia sehemu sensitive! ha ha ha haahaaaa umechungulia hadi kwapa.kwikwikwi
Hahahaa haaaa
Ndo nani huyu
Sijui kama kuna mshiriki wa haya mashindao ambaye hajadanganya umri wake.
Sijui kama kuna mshiriki wa haya mashindao ambaye hajadanganya umri wake.
Sijui kama kuna mshiriki wa haya mashindao ambaye hajadanganya umri wake.
bora ingekua kadanganya umri pekee, huyu bint ana mtoto
Always small mind discusses people.
Mkuu chill kidogo, unaweza kushangaa anayepewa hilo taji baada ya huyo bint Mtemvu kunyang'anywa naye ni muongo hivyo hivyo.
Au labda alimaanisha amenza kusex akiwa na miaka 18
hahahahaaa umeonaeee kuna hatari ya mamiss wengine nao kulikataa hilo taji sasa, unampa taji amakuambua akuuu nimeairisha kuwa miss mimi
Sitti anashukuru maana habari za FIESTA people zitaacha kuzungumzia hili swala kama awali
Jumanne Saga linaanza upya maana Ludenga anatoa tamko!