Herry JM
Member
- Oct 3, 2011
- 95
- 35
Gazeti gani niliwahi fasta..
By the way kwahiyo akivuliwa "anamkabizi".
Namba mbili taji na pesa???
Uwiii
Gazeti la Uhuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti gani niliwahi fasta..
By the way kwahiyo akivuliwa "anamkabizi".
Namba mbili taji na pesa???
Uwiii
Kweli!
Hazeti gani hilo...
Mh! Huyo atakuwa na mastaz au mastabesheni
Subirini arudi na taji la Miss World sijui mtaficha wapi sura zenu nyie stupid haters
Subirini arudi na taji la Miss World sijui mtaficha wapi sura zenu nyie stupid haters
Akirudi na taji la Miss World nitageuka kuwa ng'ombe nile majani maisha yangu yote
Subirini arudi na taji la Miss World sijui mtaficha wapi sura zenu nyie stupid haters
Arudi nalo wapi watu wameshatuma taarifa zake tayar miss world apimwe umri wake labda ingekua kibongo uchakachuzi ila si miss world
Akirudi na taji la Miss World nitageuka kuwa ng'ombe nile majani maisha yangu yote
Ehe ataeleweka tu watanzania sisi si ni vichwa vya kushikiwa
Mimi ni mdau wa elimu,naomba kujifunza kitu hapa.
Miss Tanzania wa mwaka 2014 Sitti Abbas Mtemvu anadai ana umri wa miaka 18 na ana elimu ya shahada ya uzamili (Masters).
Jaman kwa namna ipi na kivipi inakuaje nisaidieni.Inachukua miaka 18 mtu kupata masters.Ina maana alianza shule na miaka 0, hata kama kasoma ulaya naomba kueleweshwa hapa kidogo.
East Africa Television (EATV)
#HABARI MISS TZ 2014 SITTI MTEMVU, NI MISS
HALALI MWENYE VIGEZO VYOTE!
Kamati ya Miss Tanzania imesema kuwa haiwezi
kumvua taji Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kwa
kuwa ni Miss halali na mwenye vigezo vyote
vilivyotakiwa, na amewataka watu kutoropoka kwa
kuwa hawajui vigezo vinavyotakiwa
Akifafanua kuhusu suala la umri, mratibu wa
mashindano hayo Hashim Lundenga amesema kuwa
cheti halali walichonacho wao ni kile kinachoonesha
Sitti Mtemvu kazaliwa 24 mei 1991 na si vinginevyo.
Kuhusu suala la passport na leseni zilizosambaa
kwenye mitandao ya jamii zikionesha amezaliwa
mwaka 1989, Lundenga amesema wao huwa
hawangaali vitu hivyo wanachojali ni cheti cha
kuzaliwa.
Hashimu Lundenga amesema hakuna suala la yeye
kupewa rushwa, ila Sitti Mtemvu ameshinda kihalali
kwa kupitishwa na Majaji.
Kuhusu tuhuma za unene amesema wao huwa
hawaangalii wembamba wala ufupi, muhimu ni awe na
vigezo vinavyotakiwa