Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Tuache utani jamani, huyo siyo Jotti? Sasa kama yeye ndiye Miss Rukwa aliyeshinda hao wengine walikuwaje? Ya Rukwa wanayajuwa Mizengo Pinda na Mzee wa matunguli 'Mzindakaya.'
 
Inawezekana sio photogenic ( sijui nimepatia hilo neno spelling)
Kuna watu wazuri ila wakipiga picha wanatokea waajabu hadi unashangaa
Wengine wakipiga picha hutokea warembo zaidi
 
Inawezekana sio photogenic ( sijui nimepatia hilo neno spelling)
Kuna watu wazuri ila wakipiga picha wanatokea waajabu hadi unashangaa
Wengine wakipiga picha hutokea warembo zaidi
Ukiachana na hilo bado make up yake haistahili miss wa mkoa
 
Umiss haulipi cku hz watt wazuri hawajitokezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…