Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Huyo make up imemkataa kabisa. Rangi tu ndo nimeielewaMake up saa nyingine zinazingua. Mlete bila make up tumuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo make up imemkataa kabisa. Rangi tu ndo nimeielewaMake up saa nyingine zinazingua. Mlete bila make up tumuone
Eti eeeehKwa hiyo avatar hapo huo siyo mwili wa pasi!
Mbona hujashiriki?Wamechemka. Hata mie kibonge navutia kumshinda miss
Kibonge zile type za sheikh kipozeo au kibonge minyama uzembe?Wamechemka. Hata mie kibonge navutia kumshinda miss
Nasubiri Miss BantuMbona hujashiriki?
Ukiachana na hilo bado make up yake haistahili miss wa mkoaInawezekana sio photogenic ( sijui nimepatia hilo neno spelling)
Kuna watu wazuri ila wakipiga picha wanatokea waajabu hadi unashangaa
Wengine wakipiga picha hutokea warembo zaidi
Niko katikati mkuuKibonge zile type za sheikh kipozeo au kibonge minyama uzembe?
Safi mkuu,kumbe neema za ... zipoNiko katikati mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Safi mkuu,kumbe neema za ... zipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utani wangumu huuNilizani Joti, hadi nilipotikisa simu vizuri ndio nimeona kumbe sio yeye