Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Mpaka nimuone kwa video nitaamini picha SAA ingine zinadanganya sana kumbe kwenye video mtoto soft sana lainiiiiii
Haya, video hiyo hapo. Sijui ndo yule aliyepo pembeni anafanyiwa make up?

 
Make up yake mbaya kiukweli. Ila kama mrembo make up ni jambo la muhimu sana. Na napingana na wewe hapo. Ataishia kwenye zone
HAHAHAHAHAhuyu ataingia hadi top 10 miss tanzania....... hiyo make up itabadilika akikutana na wapaka make up wa dar na utashangazwa
 
hahahahaha akija dar make up itabadilika na atakimbiza mbaya
 
Make up ziwe simple zikiwa complicated haipendezi. Waafrica tuna uzuri wetu asili..why kujibandika nywele za kondoo na marangi kibao..mtu anabadilika hata sura yake haijulikani. Anyway..huu ni mtazamo wangu..waache waendelee kuyapaka maana ndio kinachowapendeza ila mimi sioni uzuri wowote kwa mwanamke wa kiafrica kupaka makeup kama jini. Napenda kitu simple...uzuri wa asili unabaki pale pale.
 
Huyu dada watu wamemuandama sana. Nahisi mpaka anajuta kushiriki hilo shindano. Sidhani mashindano ya umiss kama wana angalia sura peke yake.
Acha kutania basi Mrs Van..
 
Hongera Miss Rukwa, nakuombea uwe Miss Tanzania na hatimaye uwe Miss World.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…