Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Miss Rukwa 2018 wonders shall never end

Make up yake mbaya kiukweli. Ila kama mrembo make up ni jambo la muhimu sana. Na napingana na wewe hapo. Ataishia kwenye zone
HAHAHAHAHAhuyu ataingia hadi top 10 miss tanzania....... hiyo make up itabadilika akikutana na wapaka make up wa dar na utashangazwa
 
Sikatai..ni mzuri. Ila kwa make up hiyo tunaomba abaki huko huko rukwa. Muda umefika..wanawake tupunguze make up maana zinatuzeesha tunaonekana kama majini.
Ningekuwa mimi muandaaji wa miss Tz ningepiga marufuku make ups..hapo tutapata mtu ambae ni mzuri kikweli kweli
hahahahaha akija dar make up itabadilika na atakimbiza mbaya
 
Kwani make up ni something permanent? I mean, make up aliyoitumia akiwa ngazi ya mkoa, ndo hiyo hiyo anatakiwa aitumie zone na kitaifa? Na kama si kitu permanent, huoni akibaki huko huko Rukwa taifa linaweza likapoteza fursa ya kupata mshindani mzuri just tu kwa kuwa alikosea kufanya make up katika level za mwanzo?
Make up ziwe simple zikiwa complicated haipendezi. Waafrica tuna uzuri wetu asili..why kujibandika nywele za kondoo na marangi kibao..mtu anabadilika hata sura yake haijulikani. Anyway..huu ni mtazamo wangu..waache waendelee kuyapaka maana ndio kinachowapendeza ila mimi sioni uzuri wowote kwa mwanamke wa kiafrica kupaka makeup kama jini. Napenda kitu simple...uzuri wa asili unabaki pale pale.
 
Huyu dada watu wamemuandama sana. Nahisi mpaka anajuta kushiriki hilo shindano. Sidhani mashindano ya umiss kama wana angalia sura peke yake.
Acha kutania basi Mrs Van..
 
Hongera Miss Rukwa, nakuombea uwe Miss Tanzania na hatimaye uwe Miss World.
 
Back
Top Bottom