wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Labda alikuwa mkulimaNadhani kwenye umri hapo wamekosea itakua ni 32!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alikuwa mkulimaNadhani kwenye umri hapo wamekosea itakua ni 32!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kibonge na pasi yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wamechemka. Hata mie kibonge navutia kumshinda miss
Ndo nimesema nasubiria Miss Bantu mkuu. Siwezi kuwa miss hata kwa kuroga kamati yote ya Miss Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]We Huwezi kuwa miss na ubonge nyanya wako
Basilla Mwanukuzi. Jiandae final ya Miss Tz twendee
Ndo nimesema nasubiria Miss Bantu mkuu. Siwezi kuwa miss hata kwa kuroga kamati yote ya Miss Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mchumba. Nikikosa kadi ya mwaliko kwa Basilla tutaingia kwa kiingilioTukumbushane tu, atleast a month before especially kama kiingilio kitazidi 100,000/= double.
Save the date...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Taji langu kabisa yaniHyo event ngoja niiandae, Jf Miss Bantu. Nadhani utabeba taji teh
Top 5.
Sema hawa wadada sio wabaya ni kukaa rukwa kumewacostView attachment 806209
Sawa mchumba. Nikikosa kadi ya mwaliko kwa Basilla tutaingia kwa kiingilio
Hahahahahaaa... kweli mchumba. Ukiangalia vizuri utagundua wamekosa matunzo tuuUlivyowatetea Sasa, kama una maslahi vile.
Hahahahahaaa... kweli mchumba. Ukiangalia vizuri utagundua wamekosa matunzo tuu
Eti eehHakuna kitu, hao na ubonge wako ungewatupilia mbali.
Eti eeh