Kwa wapenzi wafuatiliaji wa Miss Tanzania 2000, habari kutoka kwa Sports Lady,Dina Ismail zinasema -- MISS Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe amefanikiwa kujifungua salama watoto mapacha wa kiume.
Taarufa zilizopatikana zinaeleza kwamba mrembo huyo pamoja na watoto wake hao hali zao zinaendelea vyema.
Nasikia tu watoto wa mzee Machache mzee Machache,hivi ni kweli ni watoto ni wake kama inavyosemwa humu?
Mimi nataka uhakika wa hii habari maana kila siku jamaa anahusishwa na huyu mrembo mama mapacha sasa.
Hongera sana mapacha poa, hapo baba wawili lazima ajisifie sifie! kaa wangu mimba hakuitaka watoto walipozaliwa kifua mbeleeeeee eti anajinadisha upande wangu ndio kuna mapacha, mara ooh sisi wananii,,,jamani jamani....
Chezea wazee wenye hela wewe!!?! Wanakula kila aina ya dawa ili kuhakikisha anapiga game dakika 90 na ikiwezekana na dakika za nyongeza 30. Chezea hela!!?! Usimpimie mzee machache unaweza kuta anazungusha kiuno kuliko H. BABA.