Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe amejaaliwa mapacha...

Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe amejaaliwa mapacha...

Status
Not open for further replies.

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
7145439_orig.png

Jacqueline Ntuyabaliwe

Kwa wapenzi wafuatiliaji wa Miss Tanzania 2000, habari kutoka kwa Sports Lady, Dina Ismail zinasema -- MISS Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe amefanikiwa kujifungua salama watoto mapacha wa kiume.

Taarufa zilizopatikana zinaeleza kwamba mrembo huyo pamoja na watoto wake hao hali zao zinaendelea vyema.

 
hii wiki ni full watoto wa kiume !HONGERA ZAKE jackie na mzeee wetu wa ......................................................P.kitu twins kabhaaa!!!!
 
Hongera sana kwa kunipatia wajukuu..Ubarikiwe
 
  • Thanks
Reactions: kui
Warithi wa T.V.I Na One radio wamezaliwa,Hongera kwa mzee machache na mama watoto
 
K-lyn ft Jaymoe
Track:Nikipata wangu

Nikipata wangu sitakubali madam amshike mkono,nikipata wangu nitakuwa naoga nae.
 
Dunia hii ina mambo!! nyie acheni tu. Mzee six upo????
 
Nasikia tu watoto wa mzee Machache mzee Machache,hivi ni kweli ni watoto ni wake kama inavyosemwa humu?
Mimi nataka uhakika wa hii habari maana kila siku jamaa anahusishwa na huyu mrembo mama mapacha sasa.
 
Hongera sana mapacha poa, hapo baba wawili lazima ajisifie sifie! kaa wangu mimba hakuitaka watoto walipozaliwa kifua mbeleeeeee eti anajinadisha upande wangu ndio kuna mapacha, mara ooh sisi wananii,,,jamani jamani....
 
Chezea wazee wenye hela wewe!!?! Wanakula kila aina ya dawa ili kuhakikisha anapiga game dakika 90 na ikiwezekana na dakika za nyongeza 30. Chezea hela!!?! Usimpimie mzee machache unaweza kuta anazungusha kiuno kuliko H. BABA.
 
Mzee Machache kweli kiboko. Yule Madam Funguwa njia kitoto chaanza tambaa yuko kwenye Menopause tayari hakuna mtoto pale.
 
Angalau hasikiki kwenye magazeti kama hao wengine sijui hata watapata lini watoto

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom