Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 164
........ list imejaa Watanzania wa kike wenye kupenda urembo!
Mademu wote vicheche tu na wanamegwa sana,wengi huwa nakutana nao sana Pale New Africa wakipapatikia wazungu.
Ni kweli Steve,
hata mimi nilipoangalia picha zao wote kweli nimekuwa na wasiwasi sana, ndiyo maana nikaona angalau niongeze na Kichuguu Mdogo wa Kike, teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!!
Kuna wasichana kama watatu au wanne hvi ninaoona angalau angalu wanajitenga kwenye kundi ingawa siyo wa kujivunia.
Binti kichuguu anatisha
Ni moja ya kigezo ,na ndiyo maana huw awanapelekwa Bagamoyo na sehemu mbali mbali ili wawape uroda waandaaji.Hivi ugawaji wa Uroda kiholela pia ni kigezo kimoja cha kushiriki Miss Tanzania?