*Miss Tanzania 2008*

........ list imejaa Watanzania wa kike wenye kupenda urembo!

Mademu wote vicheche tu na wanamegwa sana,wengi huwa nakutana nao sana Pale New Africa wakipapatikia wazungu.


Binti kichuguu anatisha

Hivi ugawaji wa Uroda kiholela pia ni kigezo kimoja cha kushiriki Miss Tanzania?
Ni moja ya kigezo ,na ndiyo maana huw awanapelekwa Bagamoyo na sehemu mbali mbali ili wawape uroda waandaaji.
 
Urembo wa Kinyamwezi ama Kidigo ni Mguu tena uwe guu kweli kweli na kingine weupe na kufungasha ama kujazia. lakini hapa tatizo anatafutwa mremba wa Kitz kwa sifa za kizungu.

Nawaona wote kama wamekonda hivi na hii inanikumbusha stori za Bi kigagula Mchawi, lakini angalia midomo wengi wameweka Lip Stick ili angalau midomo ionekane mikubwa, lakini lip stick nyekundu inanikumbusha zile hadithi za Alfu Lela Ulela na hasa Jini Makata Mnyonya damu.

Sijui Bwana, wacha wajiandae kupita mbele ya kadamnasi kuonesha nusu ya utupu wao, na watu washangilia ... huu ni ujuha kwa kweli ..... halafu nasikia Maximo ni mmoja wa Majaji ... hana kazi nini ... maana siku hizi tunashangalia drooo na kufungwa machache
 


(A) Kweli huyu Pendo Laizer alikuwa Miss University 2008: Soma hapa


(B) Kuwa Miss University hakumzuii kuwa changu doa kwa sababu wanafunzi wa vyuo vikuu siku hizi wamekuwa msitali wa mbele kwa uchangu doa; wewe toa ushahidi thabiti, mimi sintasita kukuunga mkono kwa sababu mashindano haya yamekuwa yakitumika kuharibu maadili ya mabinti zetu wakidhani kuwa kujirusha na wanaume mbalimbali ni njia mojawapo ya kujipatia umaarufu na mafanikio.
 
Nimeona kitu moja ya Jolly Club na Q Bar kabisa? Huyo Pendo Laizer ni CD kabisa jamani duuuh sema suala la uchangu siyo kigezo kinachomwondoa mshiriki mashindanoni lakini nafikiri ni vyema kama washiriki wangeangaliwa kutokana na maadili yao pia.

Naona uhuru wa kujificha nyuma ya computer na kutupa kejeli na matusi ya kutoana utu unatufikisha pabaya. Hivi mja ukiburuzwa kortini kwa kutoa lugha ya matusi utalalamika? Au kwa bahati mbaya huyu binti akipita hapa JF na kuona posting kama hii akajitoa roho , utamjibu nini Mola wako? Au posting kama hii inaisaidiaje jamii?

Nashauri tuache kujichumia dhambi bila sababu za msingi. Tuijenge nchi yetu.


_________________

al Masih is back.
 
mdau unayesambaza uzushi kuhusu Pendo umechemsha...ni bahati yake tu..naona ni tabia yake nzuri na urembo wake ndio vinakutia donge..mtoto wa watu wa kimasai katulia hana makeke..twamwombea ushindi tu! wenye wivu mtajijuuu..
 
Demand And Supply
Wapo Hivyo Kwakuwa Wanahitajika Wawe Hivyo!!
Soko La Hii Bidhaa/fani Ni Kubwa Ndio Sababu Wanaongezeka Kila Uchao.
 
Hivi jamani hizo taarifa kuwa fulani changu (mmewataja majina) ni za ukweli au ni nyepesi nyepesi? unajua tunakokwenda fani ya umiss inageuka siyo mashindano ya kuitangaza nchi tena bali ni mashindano ya kulana uroda na kupeana gari.

Vigezo vyaote vya miss world vikifuatwa hapa bongo itakuwa kazi kwelikweli.

Uwezo wa mtu kujieleza ni muhimu sana.Imagine waandishi wa habari kutoka kila kona duniani wanakuzunguka kwa robo saa wanakuhoji kuhusu nchi yako au kuhusu ishu flani ya kijamii.Inahitaji mtu mwenye confo la kufa mtu.Waandishi hawamfuati mtu mwenye mwanya au miguu mizuri bali mtu mwenye bidii na yule mwenye courage ya kutaka kuzungumza.

Tatizo mamiss wetu wakifika miss world wanafunga mdomo na kubaki kutabasamu tu.
Nilikuwepo vatican mwaka jana wakati wa miss sinza nikashuhudia miss mmoja akiwa jukwaani anajibu swali ilikuwa USIKU akawasalimia watazamaji GOOD MORNING LEDIZ END JENTOMENI!...Hivi huyo akifika miss world si inakuwa kituko tu.

Lundenga na kamati yake wawe serious na wawe wanafanya tathmini after every one year vinginevyo itakuwa mnada wa sura na vipaja....
 

😀 ...astaghafirullah! ...huenda usiku ulishakuwa past midnite bro, duh!

hiyo kali
 
mdau unayesambaza uzushi kuhusu Pendo umechemsha...ni bahati yake tu..naona ni tabia yake nzuri na urembo wake ndio vinakutia donge..mtoto wa watu wa kimasai katulia hana makeke..twamwombea ushindi tu! wenye wivu mtajijuuu..

Wewe nawe sijui umeibukia wapi kwa kweli...

Umeamua tu kumkingia kifua na maneno ya kwenye taarabu ati tutajiju, ama wewe ndio ambaye huwa mwaongozana... Yule mwembamba mweusi? Niambie.
 
Demand And Supply
Wapo Hivyo Kwakuwa Wanahitajika Wawe Hivyo!!
Soko La Hii Bidhaa/fani Ni Kubwa Ndio Sababu Wanaongezeka Kila Uchao.


wasingehitajika, wangejifia kifo cha kawaida tu.Jamii haiishi kuji contradict kwenye hili suala... utakuta mtu anamfungia mwanawe ndani kisa asifuatwe na wakware wakati yeye mwenye kutwa kusarandia watoto wa wenzake. Wakati anasaka aoe mwanamke asieyemegwa ( kwa lugha inayotumiwa na baadhi hapa JF) YEYE KUTWA KUMEGA/KUNG'ATA VYA WENZIE.Tukumbuke kuwa muosha huoshwa!leo mwana wa mwenzio,kesho wa kwako ndipo utalia kilio cha kusaga meno.

Mabinti wanaoshiriki kwenye mashindano haya..wana wakati mgumu sana maana kuna pressure kutoka kila kona...hata kama mhusika anataka kujitunza,vishawishi na mitego ni mingi mno.Wazazi wengi hawapendi watoto wao kushiriki kwa maana ni kuwa-expose kwenye danger.Sijui jamii itafanyaje ili watoto wakike wawe salama!
 

Nadhani mashindano ya Urembo hapa Tanzania yangegeuza mwendo, kweli na hakika tungeacha dhambi na tukaanza kujenga nchi yetu. Lakini mashindano ya Urembo Tanzania ni udhalilishaji wa watoto wa jinsia ya kike...

Ni kweli kuna wale ambao wanashiriki wakiwa na malengo fulani lakin asilimia kubwa ya washiriki ni wale ambao wamegeuza miili yao kuwa ni vitega uchumi. Na hapa inatakiwa utambue cya kwamba tunaposema ya kwamba fulani ni Changudoa hatumaanishi ya kwamba ni wale wanaojipanga barabarani na kujinadi kwamba 'my milk is standing' la hasha! Fani ya uchangudoa ipo well advance kwa sasa...

Hawa wakitoka katika mashindano shughuli kuu ni kukaa katika mahoteli makubwa na klub za usiku wakivizia Wazungu na Wale wenye uwezo. Na wanafanya hivo wakitegemea kuwa watatoka financially, sasa sijui mtu akiamua kuwaita hivo anakuwa amefanya kosa gani.

Katika miaka yangu mitano katika Higher Learning Ijnstitute, tena hizi ambazo zimetoa Mamiss Tanzania v wengi, tumeshuhudia yote haya na si kitu ambacho unaweza sema ya kwamba unakificha...la hasha huwa tunashuhudia na macho yetu. Watu eana kasumba ya kwamba waonapo hayo maneno katika magazeti ya Udaku kuyapuuzia lakini ni ukweli mtupu...

Haina haja ya kumwambia mtu athibitishe husiana na yale aliyoandika, na kama atataka kuthibisha atakufanyia hivyo. Suala la kujiua kwa sababu ya kuzushiwa uongo sidhani kama linaweza ni la kujadiliwa hapa... maana ckama kuzushiwa ukiwa katika Celebrity Lane mbona ni mengi...na tangu yameanza ongelewa hakuna hata mmoja aliyefikia huko wala kukanusha.!
 
Siyafagilii haya mashindano ya akina Lundenga kama ningekuwa na amri ningeyapinga kama yalivyopigwa marufuku kwa mara ya kwanza mwaka 1968,

Kwani kwa utamaduni wetu wa TZ yanawadhalilisha sana wanawake,Mabinti wanavaa vichupi vya uzi tu kiunoni na kupita kwa madaha wakirembua macho mbele ya majaji wa kiume, tena watu wazima kama wazazi wao,Hata kama hiyo LINO Agencey wana sheria za kuyaandaa,kimaadili hayatusaidii bali yanasaidia kuhamasisha ngono,
Ni laana kubwa sana kuwatumia wasichana kama vyombo vya kuwastarehesha wanaume(Majaji wa kiume),hata viongozi wa wetu wanakuwepo na wanakodolea’ macho maungo ya siri ya wasichana wasiowahusu.Eti Hiyo ndo ajira mpaka ukodolewe macho.

Kuna faida gani kama mzazi au kiongozi unashindwa kuinusuru kimaadili jamii yako?
 
ingekuwa,maendeleo ya nchi, yanapimwa kwa hizi beauty contests,basi tanzania tungekuwa mbali sana,contradict me if i am wrong,kila siku ya adam na hawa,perusing through daily papers,utakuta mara miss muhimbili,mara miss pantoni(kivuko).the list is endless. i fail to understand,are we catching up on lost time kutokana na kuchelewa kuamka cause wenzetu haya mambo sio big deal.
 

SteveD, Nakuunga mkono kauli yako. Ukiondoa huyo Kichuguu mdogo 🙂 labda na Florence Josephat sioni mshiriki yeyote wa kuingia hata 20 bora ya Miss Universe. Tanzania tuna wanawake wazuri sana sijui hawa wenye mashindano yao wanawatafuta wapi washiriki. Labda vimwana wale wa kukata na shoka hawapendi kushiriki katika mashindano hayo.
 
Mkuu uliwahi kuwa mteja wake?
 

...Vimwana wakukata na shoka hawajakondeana kama hao mamiss, naamini kimwana wa kukata na shoka ni yule aliyejaaliwa umbile la namba nane, tena ana nyama za minofu maungoni mwake, sio huu wembamba sababu ya kushindia kachumbari na matango.

Miss World/universe kwakweli kigezo chao hakiendani na warembo wetu sie wabantu wenye pua nene na maungo namba nane
 
Nadhani mashindano ya Urembo hapa Tanzania yangegeuza mwendo, kweli na hakika tungeacha dhambi na tukaanza kujenga nchi yetu. Lakini mashindano ya Urembo Tanzania ni udhalilishaji wa watoto wa jinsia ya kike...

Nafurahi kuwa hatuna mtazamo mmoja. Lakini hivi ni nani amemshurutisha mwingine mpaka ufikie kusema mashindani haya ni ya udhalilishaji? Si kila mja anakuja kwa his/her own free will? Hebu fafanua, huo 'udhalilishaji',

a. Udhalilishaji wenyewe ni upi
b. Nani ni mtendewa
c. Nani ni mtenda.


Be specific and streamlined.
 
Ni kweli kuna wale ambao wanashiriki wakiwa na malengo fulani lakin asilimia kubwa ya washiriki ni wale ambao wamegeuza miili yao kuwa ni vitega uchumi.

Haya ni madai tu na wala si ushahidi. Lete ushahidi kuthibitisha kuwa unao uwezo wa kuona malengo ya mamiss toka ndani ya mioyo yao. Ukiweza kuthibitisha hilo nitakuamini.

Na hapa inatakiwa utambue cya kwamba tunaposema ya kwamba fulani ni Changudoa hatumaanishi ya kwamba ni wale wanaojipanga barabarani na kujinadi kwamba 'my milk is standing' la hasha! Fani ya uchangudoa ipo well advance kwa sasa...

Nipe definition ya CD unayiona ni sahihi na ya kuaminika ili nijue kama kuna faida kuendelea kujengana ktk hili.
 

Nami nashukuru ya kwamba ili mjadala kama huu uendelee inabidi tusiwe na mtazamo mmoja, jambo ambalo ni vizuri kuliweka sawa ni kwamba ninaposema ya kwamba mashindano haya ni udhalilishaji, nimeongea kwa nafsi yangu...kutokana na upeo wangu na maadili yangu. Kwa mwengine anaweza akaona ni kitu cha kawaida lakini kama mtanzania niliyelelewa katika maadili ya Watanzania ambaye nimebahatika kuishi katika Awamu Nne za serikali z Bongo ntasema tena ni udhalilishaji.

Hapa sidhani kama nahitaji kujibu kwa vipengele lakini jua tu ya kwamba wazalilishwaji wakuu ni Jamii shiriki katika mchakato mzima wa Mashindano, unapoongelea nani ni mtendewa naomba nikujibu ya kwamba watendewa wakuu ni jamii nzima ambayo inawazunguka hao wahusika na watenda ni jamii hiyo hiyo ikishirikiana na hao wahusika.

Read between the lines na utaelewa ni nini hasa najaribu kukufahamisha hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…