Mzozo wa Mizozo
JF-Expert Member
- May 26, 2008
- 426
- 15
Haya ni madai tu na wala si ushahidi. Lete ushahidi kuthibitisha kuwa unao uwezo wa kuona malengo ya mamiss toka ndani ya mioyo yao. Ukiweza kuthibitisha hilo nitakuamini.
Nipe definition ya CD unayiona ni sahihi na ya kuaminika ili nijue kama kuna faida kuendelea kujengana ktk hili.
wasingehitajika, wangejifia kifo cha kawaida tu.Jamii haiishi kuji contradict kwenye hili suala... utakuta mtu anamfungia mwanawe ndani kisa asifuatwe na wakware wakati yeye mwenye kutwa kusarandia watoto wa wenzake. Wakati anasaka aoe mwanamke asieyemegwa ( kwa lugha inayotumiwa na baadhi hapa JF) YEYE KUTWA KUMEGA/KUNG'ATA VYA WENZIE.Tukumbuke kuwa muosha huoshwa!leo mwana wa mwenzio,kesho wa kwako ndipo utalia kilio cha kusaga meno.
Mabinti wanaoshiriki kwenye mashindano haya..wana wakati mgumu sana maana kuna pressure kutoka kila kona...hata kama mhusika anataka kujitunza,vishawishi na mitego ni mingi mno.Wazazi wengi hawapendi watoto wao kushiriki kwa maana ni kuwa-expose kwenye danger.Sijui jamii itafanyaje ili watoto wakike wawe salama!
Definition ya CD? nikifupisha ntakwambia ni mwanamke ambaye anaamua kutumia mwili wake kama kitega uchumi, kama njia ya kujipatia kipato!
Flora Mvungi
Kama sijakosea huyu mdada yupo kwenye kile kipindi cha bongo dar es salaama akiwaingiza watu mji nadhani mamiss wenzake wawe makini asijekuwangiza town
Ule ni mchezo tu kuelimisha watu wawe makini wakija dar,afadhali huyu anatafuta riziki kwa njia hiyo ya halali na sio kama hao wanaoonekana jolly, na hapa dar hamna msichana mwenye heshima zake anaweza kukubali umpeleke pale
Nami nashukuru ya kwamba ili mjadala kama huu uendelee inabidi tusiwe na mtazamo mmoja, jambo ambalo ni vizuri kuliweka sawa ni kwamba ninaposema ya kwamba mashindano haya ni udhalilishaji, nimeongea kwa nafsi yangu...kutokana na upeo wangu na maadili yangu. Kwa mwengine anaweza akaona ni kitu cha kawaida lakini kama mtanzania niliyelelewa katika maadili ya Watanzania ambaye nimebahatika kuishi katika Awamu Nne za serikali z Bongo ntasema tena ni udhalilishaji.
Hapa sidhani kama nahitaji kujibu kwa vipengele lakini jua tu ya kwamba wazalilishwaji wakuu ni Jamii shiriki katika mchakato mzima wa Mashindano, unapoongelea nani ni mtendewa naomba nikujibu ya kwamba watendewa wakuu ni jamii nzima ambayo inawazunguka hao wahusika na watenda ni jamii hiyo hiyo ikishirikiana na hao wahusika.
Read between the lines na utaelewa ni nini hasa najaribu kukufahamisha hapa.
Nadhani unataka kunipa uwezo wa Kimungu.
Definition ya CD? nikifupisha ntakwambia ni mwanamke ambaye anaamua kutumia mwili wake kama kitega uchumi, kama njia ya kujipatia kipato!
Washindani wetu wa Miss-Tanzania ni hawa; picha nimezitoa kwenye tovuti ya udaku ya Shigongo pale http://www.globalpublisherstz.com. Ingawa najua kuwa kuna vigezo vingi vitumikavyo kumtafuta mshindi, hata hivyo nina imani kuwa haiba huchangia sana kwenye ushindi. Je, ni nani kati yao ana haiba ya mvuto kwako, na kwa nini? GlobalPublishers wameahidi kutoa zawadi kwa msichana atakayekuwa na mvuto kwa watu wengi. Unaweza kwenda kwenye webite yao hapo juu kuonyesha chagua lako. Labda nitahadhalishe tena kuwa picha zote hizi ni mali ya Global Publishers, nimeziweka hapa kwa ajili ya kupanua mjadala wa mvuto wa haiba.
Lilian Shayo
Sylvia Mashuda
Tusekile Mwakimbinga
Amata Crispin
Angela Luballa
Anneth John
Nelly Kamwele
Beatrice Dengenesa
Blanka Emmanuel
Elizabeth Gupta
Gloria Masangwa
Florence Josephat
Flora Mvungi
Fay Antony
Irene Salala
Johari Abubakar
Linda Kaaya
Mariam Hajibu
Nadya Ahmed
Cecilia George
Devotha Desdery
Pendo Laizer
Doris Godfrey
Nasreem Karim
Regina Julius
Rona Swai
Tahya Badru
Bila kumsahau mdogo wangu huyu hapa:
Kichuguu Mdogo wa Kike
Shukrani,
Sijui kama u rational kiasi gani..
Kimsingi sidhani kama unaweza na ukawa sahihi kutumia moral stds zako na upeo wako kumjudge mtu mwingine. Sijui unatumia reference gani..hapa naona umepotoka. Na ndio maana nimeshangazwa na watu kama wewe kujificha nyuma ya PC na kurusha kejeli na matusi ya nguoni kwa washiriki wa urembo, kumbe only you have is your moral std & upeo?! Mimi nafikiri wewe ndiye haswa mdhalilishaji kwa kurusha matusi kwa mtu specific mbele ya kadamnasi hii ya JF.Naomba uombe radhi kwa hili.
Nilijua hutajibu vizuri swali langu. Hivi jamii kweli ndio mtendewa wa udhalilishaji? Mtendewa basically is the same as Mdhalilishwaji ktk kadhia hii.
Kimsingi hakuna btn lines.
Alamsik.
Kila bin'adamu (wewe ukiwemo) anatumia mwili wake kujipatia riqzi kwa namna anuai. Na hiyo ndo mana'ke.
Kwa hiyo na wewe ni CD wa kiume?
Meter ya rationality inapima 'zero'?
Siyafagilii haya mashindano ya akina Lundenga kama ningekuwa na amri ningeyapinga kama yalivyopigwa marufuku kwa mara ya kwanza mwaka 1968,
Kwani kwa utamaduni wetu wa TZ yanawadhalilisha sana wanawake,Mabinti wanavaa vichupi vya uzi tu kiunoni na kupita kwa madaha wakirembua macho mbele ya majaji wa kiume, tena watu wazima kama wazazi wao,Hata kama hiyo LINO Agencey wana sheria za kuyaandaa,kimaadili hayatusaidii bali yanasaidia kuhamasisha ngono,
Ni laana kubwa sana kuwatumia wasichana kama vyombo vya kuwastarehesha wanaume(Majaji wa kiume),hata viongozi wa wetu wanakuwepo na wanakodolea macho maungo ya siri ya wasichana wasiowahusu.Eti Hiyo ndo ajira mpaka ukodolewe macho.
Kuna faida gani kama mzazi au kiongozi unashindwa kuinusuru kimaadili jamii yako?
Soma uelewe na usingoje kueleweshwa kijana. Naweza kuwa CD wa kiume na ndio maana nakuwa nafahamiana vizuri zaidi na Ma CD wa kike ndugu hilo nalo litilie maanani.
Naona unajaribu kutumia maneno yangu against me,endelea maana sidhani kama yanaweza weka tofauti yoyote husiana na ukweli nilioongea husiana na Minada hii ya Kisasa. Kama ni mdau wa fani cya Urembo nadhani utajaribu na kuhakikisha ya kwamba yanayofaa uyachukue na myafanyie kazi.
Meter ya Rationality inapima Zero... well i suggest you read my signature husiana na hilo.
Nashukuru kuwa maswali yangu machache yamepembua u mtu wa namna gani.
Conclusion: Kimsingi huna hoja.
Alamsik.