Washindani wetu wa Miss-Tanzania ni hawa; picha nimezitoa kwenye tovuti ya udaku ya Shigongo pale
http://www.globalpublisherstz.com. Ingawa najua kuwa kuna vigezo vingi vitumikavyo kumtafuta mshindi, hata hivyo nina imani kuwa haiba huchangia sana kwenye ushindi. Je, ni nani kati yao ana haiba ya mvuto kwako, na kwa nini? GlobalPublishers wameahidi kutoa zawadi kwa msichana atakayekuwa na mvuto kwa watu wengi. Unaweza kwenda kwenye webite yao hapo juu kuonyesha chagua lako. Labda nitahadhalishe tena kuwa picha zote hizi ni mali ya Global Publishers, nimeziweka hapa kwa ajili ya kupanua mjadala wa mvuto wa haiba.
Fay Antony
Rona Swai