Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mtaniwia radhi ila hakuna kitu hapa!!!!
si umeliona! kuna mtu aliuliza kwenye picha ni mama yake huyo miss au miss mwenyewe? ....:confused2:
Kusema ukweli mamiss ni wanene halafu alieshinda mbona anaonekama mtu mzima fulani??:confused2::confused2::confused2:
Hata mie kura yangu nilimpa huyo.Tatizo kwenye kujibu swali hakutulia kama huyo miss TZMie nadhani 2nd runner's up ndio angefaa kuwaa Miss Tanzania 2010 hebu mcheki;
![]()
ana age gani kwanza, mana utasema 40's jamani, au ni pics tu zinamfanya atokee hivyo?
Hata mie kura yangu nilimpa huyo.Tatizo kwenye kujibu swali hakutulia kama huyo miss TZ
Shemeji mi hako ka kaskazini ndo kananikosha:A S 8::A S 8:
Mie nadhani 2nd runner's up ndio angefaa kuwaa Miss Tanzania 2010 hebu mcheki;
![]()
Umeona eee? maneno ya bure matendo hakunaMpwa bwana si ulisema haudanganyiki kwa rangi ya chai
Hivi kuna Miss Tz yoyote hajaanza haya mambo??? most of them ni ma expert kwenye hiyo section!!huenda ameshaanza mambo ya kikubwa mapemaaaaa:becky:
Kusema ukweli mamiss ni wanene halafu alieshinda mbona anaonekama mtu mzima fulani??:confused2::confused2::confused2:
Mimi kura yangu kwa huyu Miss Tanzania anaonekana si mvivu ana uwezo mkubwa wa kutawala jukwaa tofauti na huyo namba mbili anaonekana ni mvivu kila idara.Niko pamoja na majaji wako makini sana safari Tanzania lazima itoe Miss World hakuna ubishi mnoamponda wivu umewajaa.