View attachment 60723huyo hapo
Isee, nipo kwenye gari nmecheka kwa nguvu mpaka abiria wengine wamenitolea macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 60723huyo hapo
Last Edited when?
Kumbe uko nje???
Haaaaaa kuku mgeni hakosi kamba mguuni,ni kweli upo nje ya nchi lol
Kumbe uko nje???
Watu wengine mtabakigi maskini hivyo hivyo tu, yaani hata akili ya kujibu swali rahisi kabisa huna!!! Internet connection wanakosa wananchi wenye mambo ya muhimu kueleza but unapata wewe usiye na lolote la kueleza, kweli dunia sio fair!!!
Wivu au????
Wivu kwa kwenda nje?
Wewe unajua mimi niko wapi?
Kwani nje ni deal?
Sasa kaendaa vp akati miss tz bado? Mshindi c ndio hua anaenda kuwakilisha.. Nimevurugwa kidogo hapiLisa Jensen ndiye kaenda kuwakilisha nchi miss world, ila mashindano yenyewe bado.
Sasa kaendaa vp akati miss tz bado? Mshindi c ndio hua anaenda kuwakilisha.. Nimevurugwa kidogo hapi
View attachment 60723huyo hapo