Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan ile ishu ya ubanyamulenge ilikuwa ni kick tu au niaje
Umemix madesa ile issue sio ya watimanywa inamhusu miss wa mwaka huu wakati watimanywa ni wa mwaka jana
We nae ulikua wapi mbona izo zilipendwa ,leo anawasili kwao Atown ,tena anaskendo zake kibao,naskia ana uraia wa rwanda lol
Eeh makubwa tena haya
Watimanywa yuko poa ila she is too normal ,anavaa kawaida mno and she dont put makeup kama kwenye ile interview BBC yani hakupendeza kavaa kawaida sana,na alivokua airport alikua amavaa top ya kkoo ,ila she is cute, but ili kumjua dat ni miss ni mpaka uambiwe,yupo kawaida mnooooo,hata lipstic hapak ndo urembo gani uo
Jiandae kushinda tuzo za kupata ban nyingi jf
Hujambo binam
hahahaaaaaaaaa
bina ban ye kwake km ibada vile
Jiandae kushinda tuzo za kupata ban nyingi jf
Hujambo binam
Hhhha sijui alienda chambana wapiii???
binamu yule dada wa clip ya kukalia panga
kafukuzwa kazi,kapelekwa polisi na mume kamchukua kimada kenda mnunulia lace wigi mke kaachwa
Hhhhhhhaaaaa
nimeona ig kwa team ukweli na uwazi...!!