Miss Tanzania 2013 'Happiness Watimanywa" ndani ya London: First stop BBC Swahili, Sporah Show

Miss Tanzania 2013 'Happiness Watimanywa" ndani ya London: First stop BBC Swahili, Sporah Show

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Haya miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa tayari yuko London ready for Miss world. BBC Swahili, Sporah interviews zimeshafanyika.

Haya Happiness Go and Represent, You got my support girl.
 
huyu binti ni mrembo,nna uhakika safari hii tunafika mbali kwenye haya mashindano...Go Watimwanya
 
nasikia huyu wa sasa amevuliwa taji rasmi na amekabidhiwa miss Arusha, najaribu kutafuta hizo habari humu sizioni, wapi warumi, Dinazarde na yeyote mwenye habari kamili
 
Last edited by a moderator:
Binti wa Watimanywa yuko vizuri sana,,hata kichwa yake naona kama imetulia vile MUNGU amsimamie uko.
 
Watimanywa yuko poa ila she is too normal ,anavaa kawaida mno and she dont put makeup kama kwenye ile interview BBC yani hakupendeza kavaa kawaida sana,na alivokua airport alikua amavaa top ya kkoo ,ila she is cute, but ili kumjua dat ni miss ni mpaka uambiwe,yupo kawaida mnooooo,hata lipstic hapak ndo urembo gani uo
 
nasikia huyu wa sasa amevuliwa taji rasmi na amekabidhiwa miss Arusha, najaribu kutafuta hizo habari humu sizioni, wapi warumi, Dinazarde na yeyote mwenye habari kamili

We nae ulikua wapi mbona izo zilipendwa ,leo anawasili kwao Atown ,tena anaskendo zake kibao,naskia ana uraia wa rwanda lol
 
Last edited by a moderator:
Watimanywa yuko poa ila she is too normal ,anavaa kawaida mno and she dont put makeup kama kwenye ile interview BBC yani hakupendeza kavaa kawaida sana,na alivokua airport alikua amavaa top ya kkoo ,ila she is cute, but ili kumjua dat ni miss ni mpaka uambiwe,yupo kawaida mnooooo,hata lipstic hapak ndo urembo gani uo

Hanaa mambo ya kishagingi,ametulia hata ongea yake ni ametulia
 
Picha tafadhali wengine hapa wala hatumjui huyo happiness
 
Back
Top Bottom