Kwan ile ishu ya ubanyamulenge ilikuwa ni kick tu au niaje
Hii avator yako na unakokimbilia naona kama vle mko njia moja. Kama kila mwenye jina linaloshabihiana na mkoa wa kagera anapelekwa kwenye unyamulenge, itafikia sehemu na mkoa wenyewe utatuhumiwa kua ulikua sehemu ya rwanda.
Hanaa mambo ya kishagingi,ametulia hata ongea yake ni ametulia
Its true ametulia na si shangingi but si mrembo kama warembo wengine waliopita waliotulia. Hajui hata kwenda na trends sasa lile ni shati gani kavaa jana pale BBC na ule urembo wa shingoni ndo ulomsaidia kidogo
huyu binti ni mrembo,nna uhakika safari hii tunafika mbali kwenye haya mashindano...Go Watimwanya
ila ni kazur jaman
huyo kapewa u miss tanzania kwenye maaandishi, hajapewa hata zawadi moja ticket ya ndege yenyewe kalipiwa na kampuni ya arushaWe nae ulikua wapi mbona izo zilipendwa ,leo anawasili kwao Atown ,tena anaskendo zake kibao,naskia ana uraia wa rwanda lol