sitti rudisha taji na urudi zako marekani.....
sitti rudisha taji na urudi zako marekani.....
Hawa RITA waache kabisa kutuzingua watumishi wao wasiokuwa waaminifu wametengeneza cheti fake baada ya kuchukua mshiko. Ninavyojua ukipoteza document yoyote unatoa taarifa polisi na baada ya hapo unaanza process za kupata document nyingine ambayo ni copy ya ile ya kwanza eg.leseni. Ukweli taarifa zako zote wanakuwa nazo katika database kwa hiyo ni suala la kuchukua hizo taarifa na kutengeneza cheti kingine hata bila ya kukuuliza maswali kwa sababu majibu wanayo ktk database yao.
Hao RITA wanatakiwa kuwajibishwa pamoja na huyo Miss Bongo.
Hata mimi nampongeza huyu dada/mama ameweza kuiteka bongo zima kwa kipindi sasa na bado ataendelea kukumbukwa..
Hongera miss.tz
bhaas huyu miss kashapata kick ya kutosha mjini hata kama atavuliwa taj atajivunia kitu kimoja tu kutueka attention wabongo wengi sababu yake...anastahili hongera hahahaaaa
Nimewasikia Radio 5 wakiongea na Naibu waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Nd. Juma Nkamia ambaye amesema wao wamewaachia BASATA sakata zima.:flame:Sidhani kama Sitti anaweza kuzuia hizi tuhuma. Na watu wamembatiza wanamuita AJUZA.