Miss Tanzania 2014 kufungwa miaka 3

Miss Tanzania 2014 kufungwa miaka 3

sitti rudisha taji na urudi zako marekani.....

Ajabu ni kwamba hata huyo Baba mzazi (tumuache Mama mtu na Anko Lundenga) ambaye ni kiongozi anayetarajiwa kuionya, kuadhibu na kuonyesha mfano eti yupo mahali amekaa, AMEcross fingers akiamini mambo yatakuwa shwari shughuli iendelee kama kawa....SHAME ON HIM.
 
Hawa RITA waache kabisa kutuzingua watumishi wao wasiokuwa waaminifu wametengeneza cheti fake baada ya kuchukua mshiko. Ninavyojua ukipoteza document yoyote unatoa taarifa polisi na baada ya hapo unaanza process za kupata document nyingine ambayo ni copy ya ile ya kwanza eg.leseni. Ukweli taarifa zako zote wanakuwa nazo katika database kwa hiyo ni suala la kuchukua hizo taarifa na kutengeneza cheti kingine hata bila ya kukuuliza maswali kwa sababu majibu wanayo ktk database yao.
Hao RITA wanatakiwa kuwajibishwa pamoja na huyo Miss Bongo.

http://theinnovationhouse.blogspot.com/2014/10/tetesi-siti-mtevu-kuvua-taji-la-miss.html?m=1
 
Nimewasikia Radio 5 wakiongea na Naibu waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Nd. Juma Nkamia ambaye amesema wao wamewaachia BASATA sakata zima.:flame:Sidhani kama Sitti anaweza kuzuia hizi tuhuma. Na watu wamembatiza wanamuita AJUZA.

Anaitwa Bibi Bomba
 
Back
Top Bottom