Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upepo tu! Utapita
bhaas huyu miss kashapata kick ya kutosha mjini hata kama atavuliwa taj atajivunia kitu kimoja tu kutueka attention wabongo wengi sababu yake...anastahili hongera hahahaaaa
Mpk saiv sijaelewa wanachunguza nn ambacho hakionekani. Mbona kila kitu kipo wazi. Hapo wanachotaka sasa ni kubadilisha ukwely kuwa uongo. Na tutashanga baada ya uchunguzi utasikia ameshinda na anaenda kugombea miss world. Na mwakani tutamuona anamvisha mwingine taji. This is our tanzania kipi hatujasikia jmn. Hamna uchunguzi hapo. Labda mtwambie tunachofanya sasa ni kubadilisha ukwely ili uwe uongo basi. Koz kiukwely hapo ni hela tu ndo inayoongea hamna kingine
Oke oke ngoja niweke senti zangu 2. Kama mimi ni kiti cha utomvu na nina hela ya kutosha this is how I am getting out of this shit.
- Naingia katika moja ya vituo vya polisi vilivyojaa bongo. Nakata mkwanja utakaoniwezesha kutengeneza faili la kupotelewa na cheti soon baada ya hiyo wanayoita kambi ya miss Tz kuanza. Hii ni kuonesha kuwa nilitumia cheti cha zamani kuomba nafasi ya kushiriki hayo mashindano.
- Natengeneza cheti kingine (fake) cha kuzaliwa kinachoonesha tarehe hizi hizi za 1991 ila hiki kinakuwa na tarehe ya zamani kidogo sema labda mwaka 1992 hivi. Natoa nakala na kumkabidhi uncle Lundenga atupie kwenye mafaili yake.
- Nachukua nakala ya namba 1 hapo juu na kuipenyeza RITA (monie talks au sio?) na kutengeneza rekodi nyingine mpya ila ya tarehe za zamani kidogo (obviously tarehe iliyo mbele ya ile ya ripoti ya polisi). Hapo suala la RITA litakuwa limeisha maana rekodi zote zitakuwa sawa.
- Naita waandishi wa habari naomba radhi na kusema kuwa kwa kweli maneno yaliyosemwa ni mengi na pengine ndiyo yalinifanya ni-act emotionally mwanzoni. Hata hivyo nitaonesha rekodi zote hizo hapo juu.
Passport naisolve kama ifuatavyo.
Nafanya plastic surgery ya kubadilisha "iris" na alama za vidole halafu nasema hizo document sio zangu wala sizifahamu. Kazi kwisha.
sitti rudisha taji na urudi zako marekani.....
Et nini? so pass sio yakeBaba yake anasema eti hujuma za kisiasa kutoka kwa wapinzani wake
Hivi authority za USA zikipelekewa taarifa kwamba huyu mrs Tanzania alikuwa anatembea na false documents zitachukua hatua gani?