Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Ya leo kama haijachangamka vle ii miss tanganyika...
 
Hahahaaaa kweli Lundenga kachemsha jamani hv safari hii wanaita majina tu tokea nafasi za 15 bora mpk 5 bora kweli loh
Lundenga arudi Vodacom akaombe warudi ili mabinti wazuri wawe motivated kuingia kwenye haya mashindano tofauti na hapo yanakufa hvy!!!!!
 
Acheni ujinga nyie majaji, uyo demu wa shinyanga na karatu wanastahili kuwa top 5 mnaweka wapumbavu ndo mana mnachesha kila siku naisi mnapangaga wakumpa

Kweli mkuu yule mtoto Nicole wa shinyanga na yule wa Karatu walistahili top 5, hii wameshapanga wampe tu basi huyo wa Ilala maana kama vile kishaandaliwa.
 
nilivyovitabiria vimetolewa vyote, nahisi watachagua hicho kihindi-hindi.
 
Huwa wanatolewa wale tishio ambao hata kambini walikua wanaonekana wataleta upinzani.
Mlengwa anapambana na aliowapita
 
Back
Top Bottom