AsanteeeAcheni ujinga nyie majaji, uyo demu wa shinyanga na karatu wanastahili kuwa top 5 mnaweka wapumbavu ndo mana mnachesha kila siku naisi mnapangaga wakumpa
rafiki yangu mmoja member wa jf, maarufu sana MMU namtakia
mafanikio, natumahi atapeperusha bendera ya TMK na JF.
May Godbless her
Mimi pia
Plus mary emmanuel, doris..
Hao top five kuna wadada wabaya jamani kama huyo aliyoitwa mwishoni sijui ana makengeza?
Hao top five kuna wadada wabaya jamani kama huyo aliyoitwa mwishoni sijui ana makengeza?
Mi ni 01
Yaani nimekasirika sana,sijui nikalale....
Ana muiga Lulu ila nimempenda sarakikya mzuri hatar
Hhheeeeeeee Marry kapigwa chini jamanii pia alifaa awepo top five looo,ila tusingepumuaaa aisee
Acheni ujinga nyie majaji, uyo demu wa shinyanga na karatu wanastahili kuwa top 5 mnaweka wapumbavu ndo mana mnachesha kila siku naisi mnapangaga wakumpa
Mungu amtangulie ameingia top 5?
Asanteee
Yani wa karatu kaniuma kama ndo mimi
Asanteee
Yani wa karatu kaniuma kama ndo mimi
Yaaaani..Marry ashatolewaa hhhhaaaaaaaa