Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Karatu imeniuma sana baada ya kutoswa..Nilikuwa najua yeye ndo atachukua taji...
 
Ahahahahahaaaa.....huyu anaejibu swali la tourism angejibu kwa kiswahili tu....sielewi anachoongea
 
Mashindano hovyo kabisaaaaaa sijawahi ona hii loh hatari
 
Back
Top Bottom