inawezekana tulikua hiace moja mi nimeshukia kulugenzi nikaja kijenge juu
Mshindi ni mwana MMU Nasrin Abdul
na kwenye miss world je ?
Hakuna mashindano hapa hovyo kabisaaaaaaaaaaaa
Hakuna mashindano hapa hovyo kabisaaaaaaaaaaaa
ndio inaishia hivo.ndio nakaribia kufika nyumbani.........bado ipo.....?
Hivi hayo maswali huwa wanakalilishwa ama?
mkuu umejuaje hayo?