Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibonge huyo, baada ya mwezi si atafura
kumbe mtoto wa mzee mtemvu...?!!!mbunge wa tmk
Naandamana sikubali , mtu kavunja masharti kaambiwa Kingereza au Kiswahili kajibu na Kifaransa ! Abeg kesho naandamana
Jf oyeeeee..Miss Tz 2014
Watu tabasamu zimeanza kuisha aisee
Mmmmmhhhhhh siti kashinda
Wakuu hivi game ya taifa stars na benini wametoka ngapi ngapi.?alafu mwenye matokeo ya liverpool na qpr tafadhari niko mgodini uku sina mawasiliano mazuri..aksanten kwa utangulizi.
kuanzia uongozi hadi ubyuti.....lol
ndiyo hujakamilisha sasa, au niache na DEMBA hapa, au Honey Faith
Usiku mwema.....