Miss Tanzania 2014 live Star TV

Mfano wa cheque umeandika million kumi wao wanatangaza milion 18 ..... duh full usanii
 
Zawadi ya mshindi kwa installment tena? mabwaku!
 
Naandamana sikubali , mtu kavunja masharti kaambiwa Kingereza au Kiswahili kajibu na Kifaransa ! Abeg kesho naandamana

hii si fair kabisa, maana hata majaji sidhani wameelewa hicho alichokijibu! kuna majaji wanne nawafahamu hawajui kabisa kifaransa, so wamejudge vip? lkn pia hata audience sidhani kama wameelewa alichokijibu siti mtemvu, may be angekuwepo mkalimani tungewaelewa.
 
tutakuwa wasindikizaji hadi lini.
miss kajibu vibata eti ndio mshindi.
tutaendelea kusindikiza hadi mwisho.
hawajui kujieleza......pyuuuu
 
Wakuu hivi game ya taifa stars na benini wametoka ngapi ngapi.?alafu mwenye matokeo ya liverpool na qpr tafadhari niko mgodini uku sina mawasiliano mazuri..aksanten kwa utangulizi.

nenda kanawe uso..unasinzia mkuu..
 
Siti abasi mtemvu miss temeke awa miss Tanzania ila Kwa maoni yangu wamechakachua haina uhalali kabisa yaani wameachwa watu wenye uwezo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…