Miss Tanzania 2014 live Star TV

rafiki yangu mmoja member wa jf, maarufu sana MMU namtakia
mafanikio, natumahi atapeperusha bendera ya TMK na JF.
May Godbless her
 
nahisi mshindi huyuu miss ilala sijui ni mhindi huyu ni kama chotara fulani hivii..
 
Jamani hii rangi ya star tv ndo ilivyo hata kwenu au ni tv yangu

Nilitaka kuuliza swali hilo hilo. Nimeondoka kwenye startimes nikaenda kweny Dstv mambo ni yaleyale. Nadhani mitambo ni weak.
 
Mwonekano wa Star TV sio mzuri,sijui tatizo ni camera zao za low quality au ni King'amuzi changu kiko low.Mrusha matangazo a zoom vizuri,sijui hawaoni wenyewe
 
Uwiiiii,naupenda huo wimbo mimi..oya shake body.....
 
Mwonekano wa Star TV sio mzuri,sijui tatizo ni camera zao za low quality au ni King'amuzi changu kiko low.Mrusha matangazo a zoom vizuri,sijui hawaoni wenyewe

Camera zao low quality haionyeshi vzuri tv inaonyesha kama ma cd ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…