Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hii rangi ya star tv ndo ilivyo hata kwenu au ni tv yangu
Tokea lini sauda akapendeza???sio fashionista yule....sijaonaga jipya kwake
Jokate kapendeza sana...
Jamani hii rangi ya star tv ndo ilivyo hata kwenu au ni tv yangu
Ni kwako tu mbona nzur jmn...
Muda wa kuangalia nyuchi? Anza kuangalia nyuchi ya dada yako kwanza hapo kwenu kabla ya kuwasha hiyo Star TV
Hata huku inaonyesha vibaya mbona
Jamani hii rangi ya star tv ndo ilivyo hata kwenu au ni tv yangu
nahisi mshindi huyuu miss ilala sijui ni mhindi huyu ni kama chotara fulani hivii..
rafiki yangu mmoja member wa jf, maarufu sana mmu namtakia
mafanikio, natumahi atapeperusha bendera ya tmk na jf.
May godbless her
Mwonekano wa Star TV sio mzuri,sijui tatizo ni camera zao za low quality au ni King'amuzi changu kiko low.Mrusha matangazo a zoom vizuri,sijui hawaoni wenyewe
Camera zao low quality haionyeshi vzuri tv inaonyesha kama ma cd ya zamani