MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Na huyu mzee Lundenga alivyo kiwembe, mzee Mtemvu atatoka kwenye rafiki kwenda kwenye mkweAbbas Zubeir Mtemvu Mbunge wa Temeke na Hashim Lundenga ni washikija sanaaaa
Mjomba Lundenga kaamua kumpa umiss mtoto wa swaiba wake
Nikiripoti kutoka insta
Kingereza chenyewe cha kukariri.. ovyoooo wala haikuonyesha umahiri wowote kwa warembo hao. mwingine kajidai Kifaransa wala hajaulizwa! Warembo wote hawajaonyesha umahiri wowote kwa kutaka kuonyesha wanajua lugha ya Kingereza wakati wangeweza kuonyesha ujuzi wa mambo na umahiri wao katika lugha ya taifa na waliyoizoea. ngoja huko miss world tuone wakipeleka madudu.
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Najiskia kichefuchefu kutapika ctapiki mweheeee
Hhhhhaaaa......
nahisi mshindi huyuu miss ilala sijui ni mhindi huyu ni kama chotara fulani hivii..
Mmmmhhhhh heloooooo sitti miss diaspora
hahaha eti miss diaspora.by the way kuna ubuyu waja kuna mdaispora kadundwa mingumi na team kajala.
na ndo mshindi wetu mtoto wa mbunge
Kama hujaoga usiku nusa kwapa kitakata ( hii dawa sujui nliipata wapi Wallahi)