Baraka255
Member
- Jun 25, 2014
- 73
- 14
Siti abasi mtemvu miss temeke awa miss Tanzania ila Kwa maoni yangu wamechakachua haina uhalali kabisa yaani wameachwa watu wenye uwezo kabisa.
Miss tanzania ilikuwa niyakina Nancy Sumari. Sahivi ni sufuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siti abasi mtemvu miss temeke awa miss Tanzania ila Kwa maoni yangu wamechakachua haina uhalali kabisa yaani wameachwa watu wenye uwezo kabisa.
Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi
Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui
Wanaoongea kichina, kigerumani, kirusi wao wakivuka boda zao kinawasaidia wapi?Iko kiswahili unachokipigia debe ukivuka tu boda akikusaidii tena
tutakuwa wasindikizaji hadi lini.
miss kajibu vibata eti ndio mshindi.
tutaendelea kusindikiza hadi mwisho.
hawajui kujieleza......pyuuuu
Hivi ukiambiwa uchague Lugha kati ya kiswahili na kingereza si unatakiwa uchague kati ya hizo mbili ? sasa kuleta Kifaransa Inahusu ?? Mfyuuuu Mashauzi.com , hujafata masharti ukishinda naandamana
mwaka wa tmk huu
Miss tanzania ilikuwa niyakina Nancy Sumari. Sahivi ni sufuri
Sa hivi hakuna lolote bora nilivyolala zangu tu...
Watu wana maslahi yao binafsi
Sa hivi hakuna lolote bora nilivyolala zangu tu...
Watu wana maslahi yao binafsi
Mashindano ya Miss Tanzania hayana tofauti na mbio za Mwenge..yaani ni upuuuzi tu
ha ha ha ha ha ha ha ha, hiini kali sasa. unahitaji cancelling tu, na ukishiriki hata mara moja unazoea, kila kitu kinaanza kidogo na uoga lazima uwe nao
hahaha eti miss diaspora.by the way kuna ubuyu waja kuna mdaispora kadundwa mingumi na team kajala.
Mfyuuuuuuu yani leo wameniuz inabid nisonye tuuu