Miss Tanzania 2014 live Star TV

Nimefata hiyo link naona wote ni mashombe. Kuna Mtanzania asilia hapo? kwa hiyo sioni ajabu ikiwa wanaongea Kiingereza zaidi.
 
Huyu Lundenga mbona kama ni mzee ila bado yupo busy na vitoto manake nasikia ili uwe miss tanzania lazima umvulie chupi.....
 
Ukijua yaliopo nyuma ya pazia,juu ya mashindano ya u miss hapa Tanzania...unaweza usiahamini.Lundenga anawapiga bei.kuna mazee ya mujini yanawapigania so mwenye kisu kikali ndo mla nyama
 
n

Na ndo kashinda sasa....kifaransa kimewachengua majaji!!!

Kiukweli ingewezekana hata mi ningekusaidia kuandamana, maana dah yule kapewa tu wala hajashinda!

Mshindi alikua keshapangwa unaambiwa lol
 

Attachments

  • 1413089833478.jpg
    50.5 KB · Views: 170
Siti abasi mtemvu miss temeke awa miss Tanzania ila Kwa maoni yangu wamechakachua haina uhalali kabisa yaani wameachwa watu wenye uwezo kabisa.

...mkuu unashangaa wakati tuliwahi kuwa na miss tz muhindi kabsaaa,dadeki chezeya feza weye...
 
Hahahaha mim nasubir apambanishwe na kina priyanka chopra,yukta mukhey na ma miss venezyela,Brazil ,Costa Rica ,Barbados ,mexico na Peru
 
Mamiss wa Tanzania ni watoto wa mabaloz na wabunge. Kapewa tu hana mvuto. Mimi kwangu miss 2014 ni kale namba 3

Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi

Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui
 

Attachments

  • 1413090259108.jpg
    56.5 KB · Views: 633
ilibidi apatikane ambae hana njaa ili asipate ela
maana kundenga alikua anadaiwa12mil na patel na hajalipa
so ilibidi nafasi ile ichukukulowe bila malipo

dogo ni mkubwa sana,na wadau wanadai alishakuaga na mt
 
Tarajieni hata ma miss kuona majina ya watoto wa vigogo hata kama sura yake iko kama ugoko
 
Wengne si awajui kifaransa duh kweli hii ndo tanzania
 
Siti abasi mtemvu miss temeke awa miss Tanzania ila Kwa maoni yangu wamechakachua haina uhalali kabisa yaani wameachwa watu wenye uwezo kabisa.

Hajui kujieleza huyo binti mtemvu kaulizwa swali alipoanza kujibu kwa kiinglish akaona anachemka ikabidi achomekee kifaransa na majaji walivyo hovyo wakampa umiss. Kikweli liyejibu vizuri ni yule aliyeulizwa swali la ways of family planning.
 
Hahahaha mim nasubir apambanishwe na kina priyanka chopra,yukta mukhey na ma miss venezyela,Brazil ,Costa Rica ,Barbados ,mexico na Peru

Kosa la warembo wetu ni uelewa mdogo na kutojieleza vizuri. Mfano binti anaulizwa what are the challenges facing the youth? Anababaika kujibu unakuta anaongea point1 au 2 na kuanza kuweka blablaa zisizotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…