Miss Tanzania 2014 live Star TV

Guys seriously huyu ndio kawa Miss Tanzania?? maana hadi Mbutananga anasema anaweza kuja dar 2015 akashiriki na akashinda kama hali ndio huyi

Namba 3 ndio mshindi wangu halali hao wengine siwatambui

Mnh huyu ndo miss mwenyewe au
 
Hivi ukiambiwa uchague Lugha kati ya kiswahili na kingereza si unatakiwa uchague kati ya hizo mbili ? sasa kuleta Kifaransa Inahusu ?? Mfyuuuu Mashauzi.com , hujafata masharti ukishinda naandamana

Maandamano yanaanzia wap mkuu??
 
...hee matukio matatu tu yametosha kumpata bibi tz .?au ulimaanisha baadhi na mambo yalivyokuwa...
 
Sa hivi hakuna lolote bora nilivyolala zangu tu...
Watu wana maslahi yao binafsi

washindi wote kuanzia wa tano mpaka wa kwanza kutangazwa na mtu mmoja.

haya ndiyo maajabu zaidi.

kwani walikosekana watu wa kualikwa kuyapamba mashindano? ilipaswa kila mtu mmoja atangaze mshindi wa nafasi moja na isiwe mwandaaji/waandaaji kwani waandaaji wanaweza kuwa na speech yao wakasema ya kwao kwa ujumla.
 
mkuu kama ulikuwa unaangalia mamiss wakati wapo kambini, utaona kabisa huyo SITTI MTEMVU walipanga kumpa ushindi.... nadhani akienda miss world atashika nafasi ya mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…