Miss Tanzania 2014 live Star TV

Miss Tanzania 2014 live Star TV

Sijawah ona Vanesa kapendeza jamani vinguo vyake hovyo hovyo tu
Sasa hapo wanaigiza wangeacha kushika maik tu jaman wakacheza tu
 
Wakuu hivi game ya taifa stars na benini wametoka ngapi ngapi.?alafu mwenye matokeo ya liverpool na qpr tafadhari niko mgodini uku sina mawasiliano mazuri..aksanten kwa utangulizi.
 
Mrembo mmoja sijajua jina lake amejibu swali kwa kiingereza kibovu mithili ya kile kilichozungumzwa na wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2011.Aliulizwa swali kuhusu umuhimu wa sekta ya utalii katika uchumi wa nchi,akasemaaa...The tourism sector contributes income about 16%...(aka-pause kidogo i.e.alisahau jibu,si unajua wamekariri?) then akaendelea...contributes income about 16% "exchange foreign"....yaani chochote alichosema kwa kizungu ni broken mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom