Miss Tanzania 2018: Mimi ni Mlokole, nampenda Yesu Kristo

kwa nini mfano wa miss Tanzania awe Nyumbu Wema tu...wakati Irene Kiwia record yake ya miss world namba 3 haijavunjwa mpaka Leo...
Huyu huyu aliekuwa beki 3? basi namba yake ya bahati ni 3 mwambie acheze 3 mzuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
kama ndio huyo hapo juu kwakweli hiyo rangi ya ngozi ni hatari sana
 
kwa nini mfano wa miss Tanzania awe Nyumbu Wema tu...wakati Nancy record yake ya miss world namba 3 haijavunjwa mpaka Leo...
Nawewe si bora ungemzungumzia Nancy Sumari
 
Umewaza mbali sana mkuu, hili wazo limekuijia vipi?
umekuwa nawe muandaaji wa mambo hayo bestito hongera sana

mm namkumbuka dotto tu aisee siku zinakimbia huwezi mtu alitutoka hvihivi duuu duniani tu wasafiri kwakweli
 
Eti alipenda kuvaa taji la umalkia tangu utotoni...

Umalkia upi huo?

Umalkia wa ufalme upi?

Maana umalkia nao upo wa falme nyingi!
yaani watu hawaangalii cha kuongea mama mzazi anasema hivyo sijui tunaenda wapi
 
Kubet au kamari mlokole haruhusiwi au ni dhambi itakuwa kugombea huo umiss mmmm labda kwenye kanisa lake tu
 
tumtakie mema Mungu amshindie
 
anahitaji maombi ya ziada maana kaingia kwenye himaya nyingine kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…