kabisa mkuu..Kumbe na ww umeona hilo![emoji50]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuu..Kumbe na ww umeona hilo![emoji50]
mbona unauliza swali na kujijibu mwenyewe what's wrong!!!!Hivi yule Hashim Lundenga bado yupo au amestaafu?
Nasikia amebakia kuwa mdau tu!
Huyu huyu aliekuwa beki 3? basi namba yake ya bahati ni 3 mwambie acheze 3 mzuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kwa nini mfano wa miss Tanzania awe Nyumbu Wema tu...wakati Irene Kiwia record yake ya miss world namba 3 haijavunjwa mpaka Leo...
Mhhh!!huyu huyu au mwinginekwa nini mfano wa miss Tanzania awe Nyumbu Wema tu...wakati Irene Kiwia record yake ya miss world namba 3 haijavunjwa mpaka Leo...
Actually,there are. EasyShindano lenyewe kubwa la maadui ni Lucifer!!
No woman has never escaped money trap!
Nawewe si bora ungemzungumzia Nancy Sumarikwa nini mfano wa miss Tanzania awe Nyumbu Wema tu...wakati Nancy record yake ya miss world namba 3 haijavunjwa mpaka Leo...
View attachment 869985
Kwa upande wake, Miss Tanzania Queen Elizabeth Makune amesema anajisikia furaha kupata nafasi hiyo na kudai atahakikisha kupambana na kuipigania Tanzania zaidi ya Miss Tanzania 2016/2018 Diana alivyokuwa
Umewaza mbali sana mkuu, hili wazo limekuijia vipi?Anaonekana ana MASHINE tighty na mnato sana...
Kwa hilo nampa 100/100
umekuwa nawe muandaaji wa mambo hayo bestito hongera sanaUmewaza mbali sana mkuu, hili wazo limekuijia vipi?
yaani watu hawaangalii cha kuongea mama mzazi anasema hivyo sijui tunaenda wapiEti alipenda kuvaa taji la umalkia tangu utotoni...
Umalkia upi huo?
Umalkia wa ufalme upi?
Maana umalkia nao upo wa falme nyingi!
shosti nimekumiss kweli kumbe upo hebu tuonane wale watu wa zamani wa hapa jfAise
Nipo best. Muhimu sana ngoja nimwite Pretashosti nimekumiss kweli kumbe upo hebu tuonane wale watu wa zamani wa hapa jf
Yaliyomo YAMO chief...Umewaza mbali sana mkuu, hili wazo limekuijia vipi?
Huu uzi tutakuja kuurejea hapa hapa...Just the matter of time...
tumtakie mema Mungu amshindieTumpeni muda tu, tusiwe na haraka. Maana ukiwa miss unakutana na vimbwanga, utaruka vihunzi kinoma.
Utahongwa hela, utakataa. Watapanda dau uhongwe gari, utakataa. Dau litazidi uhongwe nyumba, ndo utakapo jitathmini uendelee na msimamo wako au uvue chupi.
Kama hataishia kuwa kama kina Wema.
AmenBwana Yesu apewe sifa