Minofu ya nini sasa kwani wanatafuta shindano la nyama? Kama unataka minofu nenda jikoni.Hakana minofu kabisa
Hahaha domo hakawiiKesho utasikia demu wa domo wa madale
Watanzania tuna tabu sana. Shindano ni miss Tanzania, washiriki ni watanzania, watazamaji kwa asilimia zaidi ya 95 ni watanzania. Kwanini tuanze kuulizana, "ungependa kujibu swali kwa kiswahili au kiingereza?" Na mshiriki anachagua kiingereza, bila haya. Na watu wanashangilia akijibu maswali kwa kiingereza.Msikilize hapa akijibu swali
endelea kuomba Mungu litokeeBasi likija shindano la mamis vibonge utanishtua
Ni mbinu ya kupunguza ukosoajiWatanzania tuna tabu sana. Shindano ni miss Tanzania, washiriki ni watanzania, watazamaji kwa asilimia zaidi ya 95 ni watanzania. Kwanini tuanze kuulizana, "ungependa kujibu swali kwa kiswahili au kiingereza?" Na mshiriki anachagua kiingereza, bila haya. Na watu wanashangilia akijibu maswali kwa kiingereza.
Kutawaliwa kubaya sana. Tunajihesabu tuko huru lakini kiuhalisia bado tunatawaliwa. Upuuzi huu huwezi kuuona katika nchi/jamii za watu wanaojitambua.
Tunaamini mtu anayejua ni yule aongeae kiingerezaWatanzania tuna tabu sana. Shindano ni miss Tanzania, washiriki ni watanzania, watazamaji kwa asilimia zaidi ya 95 ni watanzania. Kwanini tuanze kuulizana, "ungependa kujibu swali kwa kiswahili au kiingereza?" Na mshiriki anachagua kiingereza, bila haya. Na watu wanashangilia akijibu maswali kwa kiingereza.
Kutawaliwa kubaya sana. Tunajihesabu tuko huru lakini kiuhalisia bado tunatawaliwa. Upuuzi huu huwezi kuuona katika nchi/jamii za watu wanaojitambua.
nimefurahi alivoshinda maana nimesoma nae O level pale Arusha Secondary chini ya headmaster Malamsha...
Hii ndio Tanzania ya Jiwe ambayo ni Tanzania ya viwanda😂😂😂😂
Kuna mashindano hapa Tz, mshindi amewahi pata gari mpya?Aibu kubwa kwa kutoa zawadi gari USED.