Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Bila picha uzinimeshindwa kuelewa unazungumzia nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha dharau
Hao washindi wa hilo shindano ni bora wangekuwa wanapewa mabox ya kondomu.
Background ya jina lake je lina uhalisia?Wew una wivu kaka, hiyo binti Kawa miss kinondoni, Kawa miss Dar, Kawa miss universal, kaenda Japan Kawa miss universal wa Dunia hivyo uzoefu wa maswali anaujua, pia anauzoefu mkubwa kwenye hili swala cha mhimu tuache roho mbaya watanzania kaweza kujiamini pili ni mzoefu
If u like be disappointed and if u like don't be disappointedYaani muda wa kuuliza maswali nimegundua kwamba yule mshindi wa kwanza alikua lazima ameshamezeshwa.Mtu umeulizwa swali yaani hapohapo umeanza kujibu.Hata muda wa kujifikilia alikua hana.Seriously the whole thing was just staged.
Acha dharau
Akiwa baloz analipwa?Miss Mbeya awe balozi wa kutokomeza ajali mkoani Mbeya.
Dogo chukua madini haya kutoka kwa dadayo