Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Wekeni picha...
mie nilikua nayaona live through youtube ingia kwenye youtube ya millard ayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni picha...
wanapewa maswali matano sasa mojawapo ndo anaulizwa baada ya kuchagua sasa ukiwa umefanyia kazi maswali yote afu ukachagua swali ulilo tarajia si utakuwa na mzuka wa kumwaga madini faster .....refer essay za history olevel swali ukilijua utajaza hata page tanoYaani muda wa kuuliza maswali nimegundua kwamba yule mshindi wa kwanza alikua lazima ameshamezeshwa.Mtu umeulizwa swali yaani hapohapo umeanza kujibu.Hata muda wa kujifikilia alikua hana.Seriously the whole thing was just staged.
wanapewa maswali matano sasa mojawapo ndo anaulizwa baada ya kuchagua sasa ukiwa umefanyia kazi maswali yote afu ukachagua swali ulilo tarajia si utakuwa na mzuka wa kumwaga madini faster .....refer essay za history olevel swali ukilijua utajaza hata page tano
Confirm ....... sasa ukute unajua swali moja zaidi ,jingine hujui kiasi ,na jingine ndo kabisaa hamna kitu , mwisho unachukua Effects WW2 unaweka kwenye points za Great Depression ...[emoji3]hafu ukiwa hujui jibu hata nusu page hujazi hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Confirm ....... sasa ukute unajua moja zaidi ,jingine hujui zaidi ,na jingine ndo kabisaa hamna kitu , mwisho unachukua Effects WW2 unaweka kwenye points za Great Depression ...[emoji3]
HahahahahaConfirm ....... sasa ukute unajua swali moja zaidi ,jingine hujui kiasi ,na jingine ndo kabisaa hamna kitu , mwisho unachukua Effects WW2 unaweka kwenye points za Great Depression ...[emoji3]
Ushawah ingia kwenye pepa unajua swal moja ... Unakomaa na hilo hilo mpaka mwisho ... Naandika hata page kumi hata moja ... Na derive ... Naandika maconcept kibao ... Changanya ya bios ya phys yote humo humohafu ukiwa hujui jibu hata nusu page hujazi hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ushawah ingia kwenye pepa unajua swal moja ... Unakomaa na hilo hilo mpaka mwisho ... Naandika hata page kumi hata moja ... Na derive ... Naandika maconcept kibao ... Changanya ya bios ya phys yote humo humo
Kimo kimechangiaShe is beautiful but huyo namba 9 kamzidi malkia eliza
kumbe, bas sawa mkuuKimo kimechangia
Wa mwisho kabisaMiss Rukwa vipi Kashika nafasi ya ngapi?