Miss Tanzania 2018: Miss Kinondoni, Queen Elizabeth aibuka mshindi

Miss Tanzania 2018: Miss Kinondoni, Queen Elizabeth aibuka mshindi

Yaani muda wa kuuliza maswali nimegundua kwamba yule mshindi wa kwanza alikua lazima ameshamezeshwa.Mtu umeulizwa swali yaani hapohapo umeanza kujibu.Hata muda wa kujifikilia alikua hana.Seriously the whole thing was just staged.
wanapewa maswali matano sasa mojawapo ndo anaulizwa baada ya kuchagua sasa ukiwa umefanyia kazi maswali yote afu ukachagua swali ulilo tarajia si utakuwa na mzuka wa kumwaga madini faster .....refer essay za history olevel swali ukilijua utajaza hata page tano
 
hafu ukiwa hujui jibu hata nusu page hujazi hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Confirm ....... sasa ukute unajua moja zaidi ,jingine hujui zaidi ,na jingine ndo kabisaa hamna kitu , mwisho unachukua Effects WW2 unaweka kwenye points za Great Depression ...[emoji3]

😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hahaaaa umenichekesha jibu la pili hauna points ilinikuta sehemu nikaamua nisiandike kuliko niandike mwalimu aone jinsi unavyolikoroga na hujafanya revision
 
Confirm ....... sasa ukute unajua swali moja zaidi ,jingine hujui kiasi ,na jingine ndo kabisaa hamna kitu , mwisho unachukua Effects WW2 unaweka kwenye points za Great Depression ...[emoji3]
Hahahahaha
 
Miss Tz 2018.
a4b4577257c7e3356523eeeeca2f4c1c.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Ushawah ingia kwenye pepa unajua swal moja ... Unakomaa na hilo hilo mpaka mwisho ... Naandika hata page kumi hata moja ... Na derive ... Naandika maconcept kibao ... Changanya ya bios ya phys yote humo humo

bios na phys hahhaaaaaaaaa nyie mnanichekesha
 
hqdefault.jpg

Mshiriki namba 15, Queen Elizabeth usiku wa kuamkia leo alitangazwa kuwa mshindi wa taji la miss Tanzania kwa mwaka 2018
 
Back
Top Bottom