Miss Tanzania akiwa na walimbwende wenzake, je atawashinda?

Lundenga alichotifanyia mwaka huu hakikua kizuri na akaona atudharirishe zaidi kwa kumvisha satini ya bluu na viatu vya njano, kweli mwaka uishe tu hata kama ni natural beauty sio hiyo .
Nyie si mlijifanya kumfungia shindano lake ili kumkomoa. Sasa na yeye baada ya kufunguliwa kaamua kuwakomesha kwa kuwaletea huyo anaedaiwa kuwa kituko.
 
Huyo wa katikati ni shigida jmn.
 
Kwa sababu yeye ni mweusi na wao ni weupe?

Stupid minded!
You are the one who is stupid, racist and narrow minded. It's not about the colour of her skin at all, she just looks dehydrated and malnourished if you can see beyond your racist remarks. What's with the inferiority complex anyways? Take a chill pill!
 
Miss wa 2016 si ni kale kasichana cha kimasai au ameshabadilishwa
 
Wivu utakuua mwanamke siajabu wewe ni mubovu kulikoni doh ulivomshambulia mwenzako una chuki dhahiri, huna tofauti na kina miss popular, maria, sarungi na mwingine, ndo waliongiza Jana kumshambulia Diana. Kwanini msimtie moyo tu jamani chah,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…