Miss Tanzania Diana Edward hajapewa zawadi zake hadi leo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Baada ya kufanikiwa kulinyakua taji la Miss Tanzania 2016/2017 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kumtafuta mrembo wa dunia huko nchini Marekani mwishoni mwa mwaka jana, mrembo Diana Edward amesema kwamba mpaka sasa bado hajamaliziwa kupewa zawadi zake.

 
mbona heading umeandika hajapewa zawadi zake hadi leo afu ndani unachanganya maneno,acha ujinga mkuu!
huo ni ugonjwa mbaya sana..
 
Ahesabie maumivu, ndo ishatoka hiyo
 
Zawadi ipi tena zaidi ya kusuguliwa na washika dau akapewa umiss
 
Huyo demu kwa muonekano wake hakustahili hata kuwa miss mtaa.

Ashukuru iko kidogo alichopata asituvuruge
 
Hata wasimpe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…