Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Baada ya kufanikiwa kulinyakua taji la Miss Tanzania 2016/2017 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kumtafuta mrembo wa dunia huko nchini Marekani mwishoni mwa mwaka jana, mrembo Diana Edward amesema kwamba mpaka sasa bado hajamaliziwa kupewa zawadi zake.