Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,390
- 2,396
Kusema ukweli shida ni kubwa sana kusimama mbele ya watu inahitaji ujasiri na hapa ndipo manasiasa ambapo huwa yanawa win watu tu, yatapiga kulele wee even though unajua hamna mabadiliko unaamka nyumbani kwako na unaenda kulichagua mojawapo i likes politicsHafu anasoma Chuo kikuu cha Mzumbe