Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Namba 26,miss Lake Zone anaongea English Safi sana,Anajiamini,anajibu maswali vizuri..akipewa huyu nafsi yangu itakuwa radhiiii
 
It need confidence pia pressure ya watu kusimama mbele za watu sikazi ndogo hata kwa wanasiasa
 
Waliohojiwa maswali wa kwanza na wa mwisho..mmoja wapo ndo bingwa wetu Miss Tz
 
Reactions: MC7
Mwanza tushabakiza ndoo nyumbani, sema woyooooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…