Afu anaongea km kabeba ndege Kasuku.. Hataki kumpa mwenzake nafasi aongeee. Aaah!Red carpet naona ni maronyaronya tu yamevaliwa......,
Wasukuma kuvaa vizuri hawataki kabisa.......
Huyu dada anaetangaza hiyo make up ni liwa kapakwa au.....?......
miaka mingine.nadhani.kunakuwa.na option ya.kuchagua lugha ya kutumia.ila.mwaka.huu.naona wote.wameongea lugha ya malkiaHivi hairuhusiwi kuongea kiswahili kwenye hili shindano?
Ninaamini Raisntuko naye live atakemea huu utumwa wa lugha. Watu wanakariri tu wakati wangetumia kiswahili wana uwezo mkubwa tu,bona wachina wameshinda miss world na walikuwa wanaongea Kichina?
wenyewe tu na ushamba wao ona wanajinyima fursa magufuli mwenyewe haongei hii lugha ovyoovyoHivi hairuhusiwi kuongea kiswahili kwenye hili shindano?
Ninaamini Raisntuko naye live atakemea huu utumwa wa lugha. Watu wanakariri tu wakati wangetumia kiswahili wana uwezo mkubwa tu,bona wachina wameshinda miss world na walikuwa wanaongea Kichina?
Bora hata wakwanzaWaliohojiwa maswali wa kwanza na wa mwisho..mmoja wapo ndo bingwa wetu Miss Tz
Haaa.. Kama wewe [emoji13] [emoji13] [emoji13]Dayana Malikita amejibu maswali vizuri ila mbayaaaa!!amepandana meno kama mimi[emoji38][emoji38][emoji38]
Ujue shida tunayopa ni kulazimisha kuongea lugha ambayo kiukweli hatuwezi kuizungumza wala kuielewa kiufasaha. Miss world huwa naona warembo wengine huambatana na wakaimani. Ukijibu swali katika lugha ambayo unaielewa na kuisikia kwa ufasaha unakuwa na nafasi ya kujibu swali vema na kwa usahihi zaidi.Yani lugha ilimpitia pembeni ila kwa vigezo ana deserve wengine watarnda kututia aibu miss world
wa mwisho?Waliohojiwa maswali wa kwanza na wa mwisho..mmoja wapo ndo bingwa wetu Miss Tz
Black beauty wetu atakuwa namba 1 yule aliehojiwa wa kwanza..ila am in lov na aliehojiwa wa mwisho[emoji7]Bora hata wakwanza
Tatizo uoga hufanya maneno yapotee hasa yakuunga unga, sasa huyo wamwisho kapanic baada ya kuona mwenzake kajibu kiuurefu na yeye badala aongee kiufupi tu ndo kaishia njiani.Ujue shida tunayopa ni kulazimisha kuongea lugha ambayo kiukweli hatuwezi kuizungumza wala kuielewa kiufasaha. Miss world huwa naona warembo wengine huambatana na wakaimani. Ukijibu swali katika lugha ambayo unaielewa na kuisikia kwa ufasaha unakuwa na nafasi ya kujibu swali vema na kwa usahihi zaidi.
bora ashinde yule kuliko wa mwanza kila kitu mwanza jamani huu mwaka tutakomaMiss Lake Zone anastahili kushinda....na yule wa kwanza wa Masai Dondosha Wembe,....Documentary yake iko Poa sana..ila tatizo lake hajui kutembea
redio ilikula tape mkuu hahaaa haa, watu hawajifunzi Rais na cheo chake chote lakini anaheshima sana katika hii lughaShikamoo ingilishi, cd ya dada imegoma
mbona hujafa sasa?Bella amekuja kuchukua Pesa zake sasa hapo...Nampenda huyu kaka Kufaa
Hata huyo akishinda yuko poa tuBlack beauty wetu atakuwa namba 1 yule aliehojiwa wa kwanza..ila am in lov na aliehojiwa wa mwisho[emoji7]
Wa mwisho dio mshindi wa pili 2.wa mwisho?
Ashinde mwenye vigezo sio kwasababu katoka Mwanzabora ashinde yule kuliko wa mwanza kila kitu mwanza jamani huu mwaka tutakoma
raisi mwanza
miss tz mwanza
makonda nae huko huko Mungu atuepushe kwa kweli
[emoji38][emoji38]nasubiri uje unitoe Roho mkuumbona hujafa sasa?