Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Miss Tanzania itafanyika tena Mwanza 2017 na 2018.
hahahaj hachelewagi
Yani hata hajulikani naona Nape kamruhusu kumwakilisha
sauda mwilima nae wa mwanza
14716533_316678225367826_7576745458911936512_n-jpg.426361
 

Attachments

  • 14716533_316678225367826_7576745458911936512_n.jpg
    14716533_316678225367826_7576745458911936512_n.jpg
    28.7 KB · Views: 421
bora ashinde yule kuliko wa mwanza kila kitu mwanza jamani huu mwaka tutakoma
raisi mwanza
miss tz mwanza
makonda nae huko huko Mungu atuepushe kwa kweli
Bhado mapunga tu kutoka mwanza maana kila kitu mwanza
 
Naibu waziri kawataja wakina nani? naona kawapongeza haswaaaaaaa waliopita ma miss.

Wema katajwa? nilikuwa nasoma humu sijasikia jina.

Kamtaja Wema kujiamini kachomeka kwa Hoyce amtaje tu, il sifa kampa Hoyce na anachofanya.
Wema hakuna kitu cha kutaja.


Wema ajifunze leo daaaaaaahhhhh

Anasema wawe na nidhamu ma kujiamini
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom