BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Miss Tanzania oyeeeSalam za Mwanza oyeeeee mbona za kizamani sana???? Wasukuma muwe mnauliza
Kashtukizwa hakuwa mc nadhaniJokate kabati leo limegoma habadilishi tu
hahaha.wema.katajwa.kwa.lipi.na.huyu.mama.sijaeelewa.lolhuyu bibi nae kama anahutubia wana ccm jamani
Miss Tanzania itafanyika tena Mwanza 2017 na 2018.
hahahaj hachelewagi
sauda mwilima nae wa mwanzaYani hata hajulikani naona Nape kamruhusu kumwakilisha
Ndio, mfululizo 2016, 2017 & 2018.Miss Tanzania itafanyika tena Mwanza 2017 na 2018.
ahahaaaahahaha.wema.katajwa.kwa.lipi.na.huyu.mama.sijaeelewa.lol
Nawachukia sana watu ambao vichwani wamejaza kabila,dini ooooh ukanda nachukia sana.Yani huyo sexer sijui katoka wapi na ukabila wake chah. Watu wengine sijui hawajui kingereza ni lugha tu ka ilivo kiswahili, kizaramo na kikwere, kuna watu ukabila umewajaa
sitaangalia tenaNdio, mfululizo 2016, 2017 & 2018.
Inabidi mwakani waboreshe zaidi mashindano haya ya miss Tz
Bhado mapunga tu kutoka mwanza maana kila kitu mwanzabora ashinde yule kuliko wa mwanza kila kitu mwanza jamani huu mwaka tutakoma
raisi mwanza
miss tz mwanza
makonda nae huko huko Mungu atuepushe kwa kweli
hahaha.wema.katajwa.kwa.lipi.na.huyu.mama.sijaeelewa.lol
Anacheka tuu na kuitikia.cheki One show. Jamaa kambeba habebeki.Sema mpangilio haukua mzuri Joketi huwa yuko vzuri always.
Sauda Leo kachekesha watu Instagram na mavazi yake ka ndege anayetaka kupaa huko mabegani, huyo mshonaji Mungu anamuonasauda mwilima nae wa mwanza
Wivu ni ugonjwa mbaya sana na hauna tiba.bela kampandisha wema jukwaani kama nani?
Jojo kashtukizwa tu mc alikua yule mkakaAnacheka tuu na kuitikia.cheki One show. Jamaa kambeba habebeki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sauda Leo kachekesha watu Instagram na mavazi yake ka ndege anayetaka kupaa huko mabegani, huyo mshonaji Mungu anamuona
huyu fundi jamani au hakulipwa?Sauda Leo kachekesha watu Instagram na mavazi yake ka ndege anayetaka kupaa huko mabegani, huyo mshonaji Mungu anamuona