Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Nawachukia sana watu ambao vichwani wamejaza kabila,dini ooooh ukanda nachukia sana.
Ni watu tu wenye uelewa mfupi kitu miss Tanzania analeta ukabila pia inferiority complex ni janga la Watanzania wengi kwa kweli. Mtu ajajiwe kwa matendo yake na wala sio ukabila, wala dini
 
Ni watu tu wenye uelewa mfupi kitu miss Tanzania analeta ukabila pia inferiority complex ni janga la Watanzania wengi kwa kweli. Mtu ajajiwe kwa matendo yake na wala sio ukabila, wala dini
mpotezeee bhana
 
Lilian Kamazima sijui Kamazina amekongoroka!![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kamazima endelea hivyo hivyo, hatusikii drama za ovyo. Mfano wa kuigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…