Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

Huyu mtoto anatakiwa ajifunze Kutembea sana...hana Katiweki kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndio mana hamjui hata pakuweka R na L
 
Mmmmmh zawadi ndo hii ist au naona vibayaa
 
Kidoti naona nae yupo viroba kama sio bangi.....wimbo wetu wimbo gani?
 
Reactions: MC7
ahaaaaa aaa bora umesema la moyoni mwako. Ila hata hao warembo hawana cha maana walichofanya kimataifa. Haya mashindano yafutwe
 
Gari yenyewe IST[emoji15][emoji15][emoji15]?!au macho yangu jamani?!kumbe hata mimi naweza Kudhamini haya mashindano mweh!
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…